Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2019

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE SEHEMU YA KWANZA 1.1 JINA LA KIKUNDI ▶Kikundi kinaitwa vikoba online. 1.2 MAKAO MAKUU YA KIKUNDI ▶Makao makuu ya kikundi hiki ni Dar es salaam ila tuna ofisi mbalimbali mikoani kama vile Arusha,Ruvuma na Mwanza.. 1.3 TAFSIRI YA KIKUNDI ▶Wanachama ambao wameungana kwa pamoja kwa lengo la kupeana misaada kwa njia ya mtandao na kufanya shughuli za maendeleo ili kudumisha maendeleo ya taifa letu. ▶Kikundi kilianzishwa mwezi wa kwanza mwaka 2018. ▶idadi ya waanzilishi ni 20. SEHEMU YA PILI 2.0 LENGO NA MAUDHUMUNI YA KIKUNDI 2.1 MADHUMUNI i) Kuunganisha nguvu za pamoja kwa wanachama ili kujiinua kiuchumi na kujiimarisha katika masuala yote ya kimaendeleo ili kuwa na maisha bora na mazuri. ii) Kusaidiana kwa wanachama katika shida. iii) Kumwendeleza Mwanakikundi ili kufanikisha shughuli za ujenzi wa taiga letu. iv) Kufanya mijadala ya kuibua shughuli za kimaendeleo miongoni mwa wanachama. v) Katika nyanja ya uchumi wanakikundi waweze kupewa mikopo au mi...