RATIBA YA KIKUNDI YA MWAKA 2019-2020. πRatiba hii inajumuisha mipango na mikakati yote ya Kikundi pamoja na vikao vya ndani na nje kwa wiki nzima kuanzia j/tatu hadi j/pili. ⭐ JUMA TATU π»π² ▶Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Kikao cha kutathimini mapato na matumizi ya wiki nzima. ✒Kikao hicho kitaendeshwa ndani ya magroup yote ya Active members. ( kila mwanachama anatakiwa kushiriki bila kukosa). ▶Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Mijadara mbalimbali inayohusu kikao na maendeleo ya Kikundi chetu. ⭐JUMA NNE π»π² ▶ Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Muda wa kutuma matangazo mbalimbali ya biashara kwa wanachama tu. ✒muda huu ni maarumu kwajili ya matangazo ya biashara za wanakikundi na za Kikundi kwa ujumla. Huruhusiwi kujadili chochote nje ya biashara. ▶ Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Muda maarumu kwajili ya kujadili chochote kinachohusu Kikundi chetu.( si lazima kuuzulia) ⭐ JUMA TANO π»π² ▶ Kuanzia saa 08:00am hadi saa 10:30am...
Vikoba online °Ni kikundi cha kijamii kinachofanya shughulizake za uwekezaji na ujasiliamali kwa njia ya mtandao