Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2019

HISTORIA YA VIKOBA ONLINE

VIKOBA ONLINE 📝kikundi hiki kianzishwa mwaka 2018 kikiwa na malengo ya kuleta umoja baina ya wanachama ili kusaidiana katika shida mbalimbali pamoja na kuhifadhi fedha kwajili ya kutolea mikopo ili kusaidia katika kujiinua kiuchumi baina ya wanachama wa kikundi hiki. Kwa awamu ya kwanza kikundi kilikua na wanachama 25 tu. Ila kutokana na mafanikio yetu wengi wamevutiwa na maendeleo ya kikundi hiki na kuomba kujiunga nasi. Kwasasa kikundi hiki kina wanachama 252 na bado tunapokea wanachama wanaoitaji kujiunga katita kikundi hiki Kwa anayeitaji kujiunga nasi tuma ujumbe kwa mamba hizo. Piga:0624681545 WhatsApp: 0743623473 SMS:0624681545 Link👇👇 "http://historia-ya-vikoba-online.com