VIKOBA ONLINE
๐kikundi hiki kianzishwa mwaka 2018 kikiwa na malengo ya kuleta umoja baina ya wanachama ili kusaidiana katika shida mbalimbali pamoja na kuhifadhi fedha kwajili ya kutolea mikopo ili kusaidia katika kujiinua kiuchumi baina ya wanachama wa kikundi hiki.
Kwa awamu ya kwanza kikundi kilikua na wanachama 25 tu.
Ila kutokana na mafanikio yetu wengi wamevutiwa na maendeleo ya kikundi hiki na kuomba kujiunga nasi.
Kwasasa kikundi hiki kina wanachama 252 na bado tunapokea wanachama wanaoitaji kujiunga katita kikundi hiki
Kwa anayeitaji kujiunga nasi tuma ujumbe kwa mamba hizo.
Piga:0624681545
WhatsApp: 0743623473
SMS:0624681545
Link๐๐
"http://historia-ya-vikoba-online.com
KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE SEHEMU YA KWANZA 1.1 JINA LA KIKUNDI ▶Kikundi kinaitwa vikoba online. 1.2 MAKAO MAKUU YA KIKUNDI ▶Makao makuu ya kikundi hiki ni Dar es salaam ila tuna ofisi mbalimbali mikoani kama vile Arusha,Ruvuma na Mwanza.. 1.3 TAFSIRI YA KIKUNDI ▶Wanachama ambao wameungana kwa pamoja kwa lengo la kupeana misaada kwa njia ya mtandao na kufanya shughuli za maendeleo ili kudumisha maendeleo ya taifa letu. ▶Kikundi kilianzishwa mwezi wa kwanza mwaka 2018. ▶idadi ya waanzilishi ni 20. SEHEMU YA PILI 2.0 LENGO NA MAUDHUMUNI YA KIKUNDI 2.1 MADHUMUNI i) Kuunganisha nguvu za pamoja kwa wanachama ili kujiinua kiuchumi na kujiimarisha katika masuala yote ya kimaendeleo ili kuwa na maisha bora na mazuri. ii) Kusaidiana kwa wanachama katika shida. iii) Kumwendeleza Mwanakikundi ili kufanikisha shughuli za ujenzi wa taiga letu. iv) Kufanya mijadala ya kuibua shughuli za kimaendeleo miongoni mwa wanachama. v) Katika nyanja ya uchumi wanakikundi waweze kupewa mikopo au mi...
Maoni
Chapisha Maoni