Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2019

ONLY FOR TANZANIAN CITIZENS

CONTACT US VIA: EMAIL: barackwilliam12@gmail.com Fb: TECNO leo web company

RATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE

RATIBA YA KIKUNDI YA MWAKA 2019-2020. πŸ‘‰Ratiba hii inajumuisha mipango na mikakati yote ya Kikundi pamoja na vikao vya ndani na nje kwa wiki nzima kuanzia j/tatu hadi j/pili. ⭐ JUMA TATU πŸ’»πŸ“² ▶Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Kikao cha kutathimini mapato na matumizi ya wiki nzima. ✒Kikao hicho kitaendeshwa ndani ya magroup yote ya Active members. ( kila mwanachama anatakiwa kushiriki bila kukosa). ▶Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Mijadara mbalimbali inayohusu kikao na maendeleo ya Kikundi chetu. ⭐JUMA NNE πŸ’»πŸ“² ▶ Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Muda wa kutuma matangazo mbalimbali ya biashara kwa wanachama tu. ✒muda huu ni maarumu kwajili ya matangazo ya biashara za wanakikundi na za Kikundi kwa ujumla. Huruhusiwi kujadili chochote nje ya biashara. ▶ Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Muda maarumu kwajili ya kujadili chochote kinachohusu Kikundi chetu.( si lazima kuuzulia) ⭐ JUMA TANO πŸ’»πŸ“² ▶ Kuanzia saa 08:00am hadi saa 10:30am...

JINSI YA KUJIUNGA NA VIKOBA ONLINE

UONGOZI WA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE Unatoa fursa kwa watanzania wote wanaoitaji kujiunga kwenye kikundi hiki. Kikundi cha Vikoba online kinatoa fursa kwa wanainchi wote wa Tanzania kujiunga na kushiriki shughuli zetu za kimaendeleo. Kikundi hiki kimeanzishwa Dar es salaam kinondoni.  Hapo mwanzo Kikundi hiki kilianzishwa na wakazi wa eneo hilo kwa lengo la kuboresha na kujiinua kiuchumi baina ya wanachama na Taifa kwa ujumla. Tulianza na wanachama 20 tu. Kutokana na maendeleo ya Kikundi chetu tukaamua kufungua matawi madogo madogo mikoani mfano Arusha, Mwanza, na Ruvuma hadi sasa Kikundi kimepanua wigo wake na kupokea kila Mtanzania mwenye nia dhabiti ya kushiriki nasi. VIGEZO (kwa anayeitaji kuungana nasi) ✒ Uwe Mtanzania halisi. ✒Umri kuanzia miaka 18+ ✒Elimu kuanzia Darasa la saba ✒Usiwe na kesi yeyote ya jinai au madai. KUJISAJILI TUTUMIE πŸ‘‰ Picha ya kitambulisho cha kupigia kura au picha yako halisi. πŸ‘‰Namba ya simu inayopatikana muda wote. ...