RATIBA YA KIKUNDI YA MWAKA 2019-2020.
πRatiba hii inajumuisha mipango na mikakati yote ya Kikundi pamoja na vikao vya ndani na nje kwa wiki nzima kuanzia j/tatu hadi j/pili.
⭐ JUMA TATU π»π²
▶Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm
Kikao cha kutathimini mapato na matumizi ya wiki nzima.
✒Kikao hicho kitaendeshwa ndani ya magroup yote ya Active members.
( kila mwanachama anatakiwa kushiriki bila kukosa).
▶Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm
Mijadara mbalimbali inayohusu kikao na maendeleo ya Kikundi chetu.
⭐JUMA NNE π»π²
▶ Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm
Muda wa kutuma matangazo mbalimbali ya biashara kwa wanachama tu.
✒muda huu ni maarumu kwajili ya matangazo ya biashara za wanakikundi na za Kikundi kwa ujumla.
Huruhusiwi kujadili chochote nje ya biashara.
▶ Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm
Muda maarumu kwajili ya kujadili chochote kinachohusu Kikundi chetu.( si lazima kuuzulia)
⭐ JUMA TANO π»π²
▶ Kuanzia saa 08:00am hadi saa 10:30am
Muda maarumu kwajili ya kutoa na kupokea maombi ya mikopo.
✒Hii itafanyika Mara moja kwa muda wa wiki mbili.
⭐ ALHAMISI π»π²
▶ Kuanzia saa 08:30am hadi saa 10:30pm.
Muda huu ni kwajili ya mafunzo/Elimu ya ujasiriamali.
✒ Mada itawekwa saa 08:00am na semina itaanza saa 08:30am.
Mafunzo hayo yatatolewa ndani ya magroup yote ya Active members kupitia WhatsApp. (Sio lazima kushiriki).
⭐ IJUMAA π»π²
▶Kuanzia saa 10:00am hadi saa 02:30pm.
Muda wa kutoa na kupokea mkopo.
Unashauliwa kuhudhuria muda huu hata kama aupokei mkopo kwa muda huo.
⭐ JUMA MOSI π»π²
▶Kuanzia Asubuhi hadi jioni
Siku ya kukutana pamoja kwa wanachama walio jirani Au hata wanachama wanaoitaji kutembelea ofisini kwajili ya kuchukua vitambulisho vyao .
⭐ JUMA PILI π»π²
▶ Kuanzia saa 08:00am hadi saa 12:30pm tathmini ya fedha iliyotumika kwenye shughuli ya mikopo kwajili ya kutangaza kwa wanachama wote j/tatu.
✒ (hii ni kwa viongozi wa Kikundi tu).
▶ kuanzia saa 12:30pm hadi saa 10:30pm.
✒Marudio ya mafunzo ya ujasiriamali kwa watu waliokosa siku ya alhamisi.
✒ Mwanachama yeyote anaruhusiwa kutoa somo kwa ujuzi au maarifa aliyonayo.
Fuata ratiba kama ilivyo elezwa hapo juu.
Asante ππ
@imetolewa na mwenyekiti wa Kikundi
Powered by:
TECNO LEO WEB COMPANY
https://tecnoleo1.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni