VIKOBA ONLINE: Ni kikundi cha kijamii kilichosajiliwa na serikali na kupewa kibari cha kufanya shughuri za kimaendeleo pamoja na uwekezaji kwa lengo la kujiinua kiuchumi kupitia mikopo na semina mbalimbali zinazofanywa ndani ya Kikundi hiki. Kikundi kinaendesha shughuli zake Kwa njia ya mtandao(online) kikundi kimeundwa tar 1/1/2018 kwa lengo la kushirikisha jamii katika suala zima la maendeleo Tunapatikana maeneo ya Arusha mjini karibu na jengo la mkuu wa mkoa. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu no. 0743623473 au WhatsApp no.0624681545 UTARATIBU WA KIKUNDI CHETU Kikundi chetu kina jumla ya washiriki 165. Tumegawanya idadi hiyo ya watu katika makundi ya watu 25 kwa Kila kundi kwa lengo la kurahisisha utendaji wa kazi ndani ya Kikundi chetu. Pia bado tunapokea watu wanaotaka kuhungana nasi katika kikundi hiki. Masharti ya kujiunga na vikoba online: 1:Mwombaji anatakiwa kuwa mtanzania anayejua kusoma na kuandika 2:Tunasajili wanachama wenye wa miaka 18 na kue...
Vikoba online °Ni kikundi cha kijamii kinachofanya shughulizake za uwekezaji na ujasiliamali kwa njia ya mtandao