Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Vikoba Online post 2


  1. FAIDA ZA KUJIUNGA NA VIKOBA ONLINE
▶Mwanachama anauwezo wa kukopa na kulipa papo hapo bila tatizo lolote.
▶Mwanachama ukatwa riba kidogo sana pindi anaporudisha mkopo wake.
Note: kwa mwanachama mpya upewa mkopo bila riba yeyote.
▶Mwanachama anaruhusiwa kutoa maoni au kuchangia hoja kuhusu jambo lolote linarohusiana na vikoba online.
▶Pia tunasaidia wanachama wanaopatwa na matatizo mfano; Ajari, Msiba au Magonjwa.
Ila itatakiwa utoe taarifa kwa Mwenyekiti wa vikoba online nae atatangaza kwa wanachama wote.
▶Kila mwisho wa wiki mwasibu hutangaza kwa wanachama kiasi cha pesa kilichopo katika akaunti yetu.

Kwa maelezo zaidi jinsi ya kujisajili wasiliana na katibu wa kikundi kwa WhatsApp no.0624681545
Au piga πŸ“² kwa namba 0743623473

Maoni

  1. Karibuni sana kwenye kikundi chetu cha vikoba online

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE SEHEMU YA KWANZA 1.1 JINA LA KIKUNDI ▶Kikundi kinaitwa vikoba online. 1.2 MAKAO MAKUU YA KIKUNDI ▶Makao makuu ya kikundi hiki ni Dar es salaam ila tuna ofisi mbalimbali mikoani kama vile Arusha,Ruvuma na Mwanza.. 1.3 TAFSIRI YA KIKUNDI ▶Wanachama ambao wameungana kwa pamoja kwa lengo la kupeana misaada kwa njia ya mtandao na kufanya shughuli za maendeleo ili kudumisha maendeleo ya taifa letu. ▶Kikundi kilianzishwa mwezi wa kwanza mwaka 2018. ▶idadi ya waanzilishi ni 20. SEHEMU YA PILI 2.0 LENGO NA MAUDHUMUNI YA KIKUNDI 2.1 MADHUMUNI i) Kuunganisha nguvu za pamoja kwa wanachama ili kujiinua kiuchumi na kujiimarisha katika masuala yote ya kimaendeleo ili kuwa na maisha bora na mazuri. ii) Kusaidiana kwa wanachama katika shida. iii) Kumwendeleza Mwanakikundi ili kufanikisha shughuli za ujenzi wa taiga letu. iv) Kufanya mijadala ya kuibua shughuli za kimaendeleo miongoni mwa wanachama. v) Katika nyanja ya uchumi wanakikundi waweze kupewa mikopo au mi...

RATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE

RATIBA YA KIKUNDI YA MWAKA 2019-2020. πŸ‘‰Ratiba hii inajumuisha mipango na mikakati yote ya Kikundi pamoja na vikao vya ndani na nje kwa wiki nzima kuanzia j/tatu hadi j/pili. ⭐ JUMA TATU πŸ’»πŸ“² ▶Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Kikao cha kutathimini mapato na matumizi ya wiki nzima. ✒Kikao hicho kitaendeshwa ndani ya magroup yote ya Active members. ( kila mwanachama anatakiwa kushiriki bila kukosa). ▶Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Mijadara mbalimbali inayohusu kikao na maendeleo ya Kikundi chetu. ⭐JUMA NNE πŸ’»πŸ“² ▶ Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Muda wa kutuma matangazo mbalimbali ya biashara kwa wanachama tu. ✒muda huu ni maarumu kwajili ya matangazo ya biashara za wanakikundi na za Kikundi kwa ujumla. Huruhusiwi kujadili chochote nje ya biashara. ▶ Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Muda maarumu kwajili ya kujadili chochote kinachohusu Kikundi chetu.( si lazima kuuzulia) ⭐ JUMA TANO πŸ’»πŸ“² ▶ Kuanzia saa 08:00am hadi saa 10:30am...

JINSI YA KUJIUNGA NA VIKOBA ONLINE

UONGOZI WA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE Unatoa fursa kwa watanzania wote wanaoitaji kujiunga kwenye kikundi hiki. Kikundi cha Vikoba online kinatoa fursa kwa wanainchi wote wa Tanzania kujiunga na kushiriki shughuli zetu za kimaendeleo. Kikundi hiki kimeanzishwa Dar es salaam kinondoni.  Hapo mwanzo Kikundi hiki kilianzishwa na wakazi wa eneo hilo kwa lengo la kuboresha na kujiinua kiuchumi baina ya wanachama na Taifa kwa ujumla. Tulianza na wanachama 20 tu. Kutokana na maendeleo ya Kikundi chetu tukaamua kufungua matawi madogo madogo mikoani mfano Arusha, Mwanza, na Ruvuma hadi sasa Kikundi kimepanua wigo wake na kupokea kila Mtanzania mwenye nia dhabiti ya kushiriki nasi. VIGEZO (kwa anayeitaji kuungana nasi) ✒ Uwe Mtanzania halisi. ✒Umri kuanzia miaka 18+ ✒Elimu kuanzia Darasa la saba ✒Usiwe na kesi yeyote ya jinai au madai. KUJISAJILI TUTUMIE πŸ‘‰ Picha ya kitambulisho cha kupigia kura au picha yako halisi. πŸ‘‰Namba ya simu inayopatikana muda wote. ...