Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE SEHEMU YA KWANZA 1.1 JINA LA KIKUNDI ▶Kikundi kinaitwa vikoba online. 1.2 MAKAO MAKUU YA KIKUNDI ▶Makao makuu ya kikundi hiki ni Dar es salaam ila tuna ofisi mbalimbali mikoani kama vile Arusha,Ruvuma na Mwanza.. 1.3 TAFSIRI YA KIKUNDI ▶Wanachama ambao wameungana kwa pamoja kwa lengo la kupeana misaada kwa njia ya mtandao na kufanya shughuli za maendeleo ili kudumisha maendeleo ya taifa letu. ▶Kikundi kilianzishwa mwezi wa kwanza mwaka 2018. ▶idadi ya waanzilishi ni 20. SEHEMU YA PILI 2.0 LENGO NA MAUDHUMUNI YA KIKUNDI 2.1 MADHUMUNI i) Kuunganisha nguvu za pamoja kwa wanachama ili kujiinua kiuchumi na kujiimarisha katika masuala yote ya kimaendeleo ili kuwa na maisha bora na mazuri. ii) Kusaidiana kwa wanachama katika shida. iii) Kumwendeleza Mwanakikundi ili kufanikisha shughuli za ujenzi wa taiga letu. iv) Kufanya mijadala ya kuibua shughuli za kimaendeleo miongoni mwa wanachama. v) Katika nyanja ya uchumi wanakikundi waweze kupewa mikopo au mi...

FAHAMU KUHUSU VIKOBA ONLINE

VIKOBA ONLINE: Ni kikundi cha kijamii kilichosajiliwa na serikali na kupewa kibari cha kufanya shughuri za kimaendeleo pamoja na uwekezaji kwa lengo la kujiinua kiuchumi kupitia mikopo na semina mbalimbali zinazofanywa ndani ya Kikundi hiki. Kikundi kinaendesha shughuli zake Kwa njia ya mtandao(online) kikundi kimeundwa tar 1/1/2018 kwa lengo la kushirikisha jamii katika suala zima la maendeleo Tunapatikana maeneo ya Arusha mjini karibu na jengo la mkuu wa mkoa. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu no. 0743623473  au WhatsApp no.0624681545 UTARATIBU WA KIKUNDI CHETU Kikundi chetu kina jumla ya washiriki 165. Tumegawanya idadi hiyo ya watu katika makundi ya watu 25 kwa Kila kundi kwa lengo la kurahisisha utendaji wa kazi ndani ya Kikundi chetu. Pia bado tunapokea watu wanaotaka kuhungana nasi katika kikundi hiki. Masharti ya kujiunga na vikoba online: 1:Mwombaji anatakiwa kuwa mtanzania anayejua kusoma na kuandika 2:Tunasajili wanachama wenye wa miaka 18 na kue...

Vikoba Online post 2

FAIDA ZA KUJIUNGA NA VIKOBA ONLINE ▶Mwanachama anauwezo wa kukopa na kulipa papo hapo bila tatizo lolote. ▶Mwanachama ukatwa riba kidogo sana pindi anaporudisha mkopo wake. Note: kwa mwanachama mpya upewa mkopo bila riba yeyote. ▶Mwanachama anaruhusiwa kutoa maoni au kuchangia hoja kuhusu jambo lolote linarohusiana na vikoba online. ▶Pia tunasaidia wanachama wanaopatwa na matatizo mfano; Ajari, Msiba au Magonjwa. Ila itatakiwa utoe taarifa kwa Mwenyekiti wa vikoba online nae atatangaza kwa wanachama wote. ▶Kila mwisho wa wiki mwasibu hutangaza kwa wanachama kiasi cha pesa kilichopo katika akaunti yetu. Kwa maelezo zaidi jinsi ya kujisajili wasiliana na katibu wa kikundi kwa WhatsApp no.0624681545 Au piga 📲 kwa namba 0743623473