Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE Tazama matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2020 kupitia tovuti hii pale yatakapo tangazwa na baraza la mitiani la Taifa             COMING SOON!      
Machapisho ya hivi karibuni

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020

MATOKEO YA DARASA LA SABA Tazama matokeo ya darasa la saba kupitia tovuti hii. Matokeo ya darasa la saba yameshatoka na tuko kwenye mchakato wa kuyaweka ndani ya tovuti hii. Muda wowote tutayatangaza pitia Mara kwa Mara ili kutazama kama tayari yameshawekwa.                      COMING SOON!

ONLY FOR TANZANIAN CITIZENS

CONTACT US VIA: EMAIL: barackwilliam12@gmail.com Fb: TECNO leo web company

RATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE

RATIBA YA KIKUNDI YA MWAKA 2019-2020. 👉Ratiba hii inajumuisha mipango na mikakati yote ya Kikundi pamoja na vikao vya ndani na nje kwa wiki nzima kuanzia j/tatu hadi j/pili. ⭐ JUMA TATU 💻📲 ▶Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Kikao cha kutathimini mapato na matumizi ya wiki nzima. ✒Kikao hicho kitaendeshwa ndani ya magroup yote ya Active members. ( kila mwanachama anatakiwa kushiriki bila kukosa). ▶Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Mijadara mbalimbali inayohusu kikao na maendeleo ya Kikundi chetu. ⭐JUMA NNE 💻📲 ▶ Kuanzia saa 10:00am hadi saa 12:30pm Muda wa kutuma matangazo mbalimbali ya biashara kwa wanachama tu. ✒muda huu ni maarumu kwajili ya matangazo ya biashara za wanakikundi na za Kikundi kwa ujumla. Huruhusiwi kujadili chochote nje ya biashara. ▶ Kuanzia saa 02:00pm hadi saa 06:30pm Muda maarumu kwajili ya kujadili chochote kinachohusu Kikundi chetu.( si lazima kuuzulia) ⭐ JUMA TANO 💻📲 ▶ Kuanzia saa 08:00am hadi saa 10:30am...

JINSI YA KUJIUNGA NA VIKOBA ONLINE

UONGOZI WA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE Unatoa fursa kwa watanzania wote wanaoitaji kujiunga kwenye kikundi hiki. Kikundi cha Vikoba online kinatoa fursa kwa wanainchi wote wa Tanzania kujiunga na kushiriki shughuli zetu za kimaendeleo. Kikundi hiki kimeanzishwa Dar es salaam kinondoni.  Hapo mwanzo Kikundi hiki kilianzishwa na wakazi wa eneo hilo kwa lengo la kuboresha na kujiinua kiuchumi baina ya wanachama na Taifa kwa ujumla. Tulianza na wanachama 20 tu. Kutokana na maendeleo ya Kikundi chetu tukaamua kufungua matawi madogo madogo mikoani mfano Arusha, Mwanza, na Ruvuma hadi sasa Kikundi kimepanua wigo wake na kupokea kila Mtanzania mwenye nia dhabiti ya kushiriki nasi. VIGEZO (kwa anayeitaji kuungana nasi) ✒ Uwe Mtanzania halisi. ✒Umri kuanzia miaka 18+ ✒Elimu kuanzia Darasa la saba ✒Usiwe na kesi yeyote ya jinai au madai. KUJISAJILI TUTUMIE 👉 Picha ya kitambulisho cha kupigia kura au picha yako halisi. 👉Namba ya simu inayopatikana muda wote. ...

HISTORIA YA VIKOBA ONLINE

VIKOBA ONLINE 📝kikundi hiki kianzishwa mwaka 2018 kikiwa na malengo ya kuleta umoja baina ya wanachama ili kusaidiana katika shida mbalimbali pamoja na kuhifadhi fedha kwajili ya kutolea mikopo ili kusaidia katika kujiinua kiuchumi baina ya wanachama wa kikundi hiki. Kwa awamu ya kwanza kikundi kilikua na wanachama 25 tu. Ila kutokana na mafanikio yetu wengi wamevutiwa na maendeleo ya kikundi hiki na kuomba kujiunga nasi. Kwasasa kikundi hiki kina wanachama 252 na bado tunapokea wanachama wanaoitaji kujiunga katita kikundi hiki Kwa anayeitaji kujiunga nasi tuma ujumbe kwa mamba hizo. Piga:0624681545 WhatsApp: 0743623473 SMS:0624681545 Link👇👇 "http://historia-ya-vikoba-online.com

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE

KATIBA YA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE SEHEMU YA KWANZA 1.1 JINA LA KIKUNDI ▶Kikundi kinaitwa vikoba online. 1.2 MAKAO MAKUU YA KIKUNDI ▶Makao makuu ya kikundi hiki ni Dar es salaam ila tuna ofisi mbalimbali mikoani kama vile Arusha,Ruvuma na Mwanza.. 1.3 TAFSIRI YA KIKUNDI ▶Wanachama ambao wameungana kwa pamoja kwa lengo la kupeana misaada kwa njia ya mtandao na kufanya shughuli za maendeleo ili kudumisha maendeleo ya taifa letu. ▶Kikundi kilianzishwa mwezi wa kwanza mwaka 2018. ▶idadi ya waanzilishi ni 20. SEHEMU YA PILI 2.0 LENGO NA MAUDHUMUNI YA KIKUNDI 2.1 MADHUMUNI i) Kuunganisha nguvu za pamoja kwa wanachama ili kujiinua kiuchumi na kujiimarisha katika masuala yote ya kimaendeleo ili kuwa na maisha bora na mazuri. ii) Kusaidiana kwa wanachama katika shida. iii) Kumwendeleza Mwanakikundi ili kufanikisha shughuli za ujenzi wa taiga letu. iv) Kufanya mijadala ya kuibua shughuli za kimaendeleo miongoni mwa wanachama. v) Katika nyanja ya uchumi wanakikundi waweze kupewa mikopo au mi...

FAHAMU KUHUSU VIKOBA ONLINE

VIKOBA ONLINE: Ni kikundi cha kijamii kilichosajiliwa na serikali na kupewa kibari cha kufanya shughuri za kimaendeleo pamoja na uwekezaji kwa lengo la kujiinua kiuchumi kupitia mikopo na semina mbalimbali zinazofanywa ndani ya Kikundi hiki. Kikundi kinaendesha shughuli zake Kwa njia ya mtandao(online) kikundi kimeundwa tar 1/1/2018 kwa lengo la kushirikisha jamii katika suala zima la maendeleo Tunapatikana maeneo ya Arusha mjini karibu na jengo la mkuu wa mkoa. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu no. 0743623473  au WhatsApp no.0624681545 UTARATIBU WA KIKUNDI CHETU Kikundi chetu kina jumla ya washiriki 165. Tumegawanya idadi hiyo ya watu katika makundi ya watu 25 kwa Kila kundi kwa lengo la kurahisisha utendaji wa kazi ndani ya Kikundi chetu. Pia bado tunapokea watu wanaotaka kuhungana nasi katika kikundi hiki. Masharti ya kujiunga na vikoba online: 1:Mwombaji anatakiwa kuwa mtanzania anayejua kusoma na kuandika 2:Tunasajili wanachama wenye wa miaka 18 na kue...

Vikoba Online post 2

FAIDA ZA KUJIUNGA NA VIKOBA ONLINE ▶Mwanachama anauwezo wa kukopa na kulipa papo hapo bila tatizo lolote. ▶Mwanachama ukatwa riba kidogo sana pindi anaporudisha mkopo wake. Note: kwa mwanachama mpya upewa mkopo bila riba yeyote. ▶Mwanachama anaruhusiwa kutoa maoni au kuchangia hoja kuhusu jambo lolote linarohusiana na vikoba online. ▶Pia tunasaidia wanachama wanaopatwa na matatizo mfano; Ajari, Msiba au Magonjwa. Ila itatakiwa utoe taarifa kwa Mwenyekiti wa vikoba online nae atatangaza kwa wanachama wote. ▶Kila mwisho wa wiki mwasibu hutangaza kwa wanachama kiasi cha pesa kilichopo katika akaunti yetu. Kwa maelezo zaidi jinsi ya kujisajili wasiliana na katibu wa kikundi kwa WhatsApp no.0624681545 Au piga 📲 kwa namba 0743623473