UONGOZI WA KIKUNDI CHA VIKOBA ONLINE Unatoa fursa kwa watanzania wote wanaoitaji kujiunga kwenye kikundi hiki. Kikundi cha Vikoba online kinatoa fursa kwa wanainchi wote wa Tanzania kujiunga na kushiriki shughuli zetu za kimaendeleo. Kikundi hiki kimeanzishwa Dar es salaam kinondoni. Hapo mwanzo Kikundi hiki kilianzishwa na wakazi wa eneo hilo kwa lengo la kuboresha na kujiinua kiuchumi baina ya wanachama na Taifa kwa ujumla. Tulianza na wanachama 20 tu. Kutokana na maendeleo ya Kikundi chetu tukaamua kufungua matawi madogo madogo mikoani mfano Arusha, Mwanza, na Ruvuma hadi sasa Kikundi kimepanua wigo wake na kupokea kila Mtanzania mwenye nia dhabiti ya kushiriki nasi. VIGEZO (kwa anayeitaji kuungana nasi) ✒ Uwe Mtanzania halisi. ✒Umri kuanzia miaka 18+ ✒Elimu kuanzia Darasa la saba ✒Usiwe na kesi yeyote ya jinai au madai. KUJISAJILI TUTUMIE ๐ Picha ya kitambulisho cha kupigia kura au picha yako halisi. ๐Namba ya simu inayopatikana muda wote. ...